Uvamizi wa mara kwa mara washuhudiwa Borabu

  • | Citizen TV
    164 views

    Hali ya wasiwasi imegubika eneo la Borabu mpakani mwa kaunti za Nyamira na Bomet, kufuatia ongezeko la visa vya uvamizi na wizi wa ng'ombe. Wenyeji sasa wakihofia maisha yao kufuatia visa viwili ambapo wahalifu waliwavamia na kuwajeruhi wakazi kwa mishale