Wakulima wa Naromoru wapanda aina tofauti ya mbegu

  • | Citizen TV
    58 views

    Wakulima katika eneo la Narumoro kaunti ya Nyeri, wana matumaini, baada ya kupokea aina mpya ya maharagwe yanayojulikana kama Waithera, yanayosemekana kutoa mavuno mara sita zaidi ya yale ya kawaida