'Sina imani na tume ya uchaguzi Zanzibar'-Othman Masoud
Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani.
Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni mgombea urais wa ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar, kuhusu wasiwasi wake juu ya iwapo uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hasa wakati Zanzibar nayo ikijiandaa kwa uchaguzi wa kitaifa.
Mtangazaji wa BBC @roncliffeodit ameanza kwa kumuuliza je ana imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar?
🎥: @frankmavura
-
-
#bbcswahili #siasa #zanzibar #tumehuru #uchaguzitanzania2025
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
12 Aug 2025
- Because of the construction of the interchange, the busy corridor has faced traffic congestion.
12 Aug 2025
- His body was discovered only hours after his arrest.
12 Aug 2025
- Natembeya has been hinting at leaving the party.
12 Aug 2025
- The DP said the decision by President William Ruto remains in force and is meant to do away with past discriminatory tendencies targeting some communities.
12 Aug 2025
- Speaking during International Youth Day celebrations at Masinde Muliro University in Kakamega County, Dr. Ruto lauded the energy, creativity, and resilience of Kenyan youths, noting their influence in sectors such as science, technology, and sports.
12 Aug 2025
- Milimani Senior Principal Magistrate Carolyne Mugo issued the order following a request by the prosecution for three days to compile the report.
12 Aug 2025
- Milimani Senior Principal Magistrate Carolyne Mugo issued the order following a request by the prosecution for three days to compile the report.
12 Aug 2025
- Nominated Senator Hezena Lemaletian has secured temporary court orders restraining her estranged boyfriend, Musa Hussein Lenyumpa, from harassing or contacting her in any way.
12 Aug 2025
- The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has revoked a Privately Initiated Proposal (PIP) to construct the Nairobi-Mombasa (Usahihi) expressway.
12 Aug 2025
- Because of the construction of the interchange, the busy corridor has faced traffic congestion.
12 Aug 2025
- US authorities termed it the 'largest Covid-19 swindling scheme in America'.
12 Aug 2025
- His body was discovered only hours after his arrest.
12 Aug 2025
- He urged Kenyans to cooperate with the security stewards on the ground to continue succeeding together.