Wakenya watakiwa kuwajali wagonjwa wa kifafa

  • | KBC Video
    8 views

    Wakenya wametakiwa kuacha kuwabagua au kuwanyanyapaa watu wanaogua kifafa. Haya yanajiri wakati chama cha maslahi ya watu walio na ugonjwa wa kifafa nchini Kenya kikijitahidi kuondoa imani potovu kuhusu ugonjwa huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive