Serikali kushirikiana na sekta ya binafsi kufanikisha miradi

  • | KBC Video
    6 views

    Serikali inatunga mwongozo kuhusu ushirikiano wa kibiashara baina yake na wenye biashara ndogo kupitia kubuniwa kwa kitengo ambacho kitafungua nafasi zinazopatikana kwenye kaunti. Waziri wa fedha John Mbadi amesema serikali inakadiria miradi 37 ya ngazi za serikali kuu na za kaunti ambayo itafadhiliwa kupitia ushirikiano wa sekta za umma na binafsi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News