Matukio uwanjani Kasarani jumapili yazua masharti

  • | Citizen TV
    355 views

    Shirikisho la Kandanda Barani Afrika CAF limetoa masharti mapya kwa Kenya kufuatia matukio yaliyoshuhudiwa uwanjani Kasarani wakati wa mechi ya CHAN kati ya Kenya na Morocco.