Mgomo wa wahudumu wa afya waathiri huduma kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    124 views

    Wagonjwa katika hospitali za umma za kaunti ya Machakos wanahangaika huku huduma za matibabu zikikwama kufuatia Mgomo unaoendelea wa wahudumu wa afya. Mgomo huo ukiingia siku ya tano, vitanda katika hospitali za Machakos level 5 na Kangundo Level 5 vimesalia bila wagonjwa huku wagonjwa wakitatizika kwa kukosa huduma