Murkomen aingilia kati mvutano kati ya IG Kanja na Tume ya Huduma ya Polisi

  • | NTV Video
    184 views

    Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen ameingilia kati kibaridi kinachoshuhudiwa kati ya Inspekta Generali wa Polisi Douglas Kanja na Tume ya Huduma ya Polisi juu ya mamlaka ya kuajiri maafisa wa usalama.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya