Mvutano wa ushuru kati ya China na Marekani unaathiri vipi Afrika?

  • | BBC Swahili
    1,153 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha kwa muda tishio la kuiwekea China ushuru zaidi wa kibiashara kwa miezi mitatu ijayo saa chache kabla ya hatua hiyo kuanza kutekelezwa. China vile vile imetangaza kusimamisha hatua kama hiyo kwa upande wake.