Kongamano la Tisa la Homa Bay

  • | Citizen TV
    611 views

    Awamu ta tisa ya kongamano la Ugatuzi imeng'oa nanga katika kaunti ya Homa Bay . Rais William Ruto anafungua rasmi kongamano hilo lenye maudhui ya ujumuishaji. Baraza la magavana linashinikiza mgao zaidi wa fedha ili kufanikisha majukumu ya Serikali za ugatuzi