Kongamano la tisa la Ugatuzi Homa Bay

  • | Citizen TV
    493 views

    Kongamano la tisa la ugatuzi liking'oa nanga katika kaunti ya Homa Bay, wageni wamepata nafasi ya kujivinjari na kuzuru vivutio mbalimbali vya utalii kaunti hiyo. Rasilmali ya ziwa Victoria inatoa ajira kwa maelfu ya wakazi wa kaunti hiyo wanaotegemea uvuvi na utalii