Waziri Murkomen aitisha kikao na wakuu

  • | Citizen TV
    2,464 views

    Mgogoro unazidi kutokota kuhusu mishahara na usajili wa maafisa wa polisi huku idara ya huduma za polisi - NPS- na tume ya kitaifa ya huduma za polisi zikipimana nguvu - NPSC