NJIA MBADALA ZA KUPAMBANA NA MEGENGE MALINDI

  • | KNA Video
    40 views
    katika juhudi za kabiliana na ongezeko la magenge ya uhalifu na matumizi ya mihadarati baadhi ya wawekezaji mjini Malindi kaunti ya Kilifi sasa wameanzisha mpango kabambe wa kuwezesha vijana na hususan wale wa boda boda katika mji huo wa kitalii.