Kufunguliwa mpaka wa Bunagana, fursa kwa wakimbizi

  • | BBC Swahili
    715 views
    Mpaka wa Bunagana unaounganisha Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo umefunguliwa baada ya kufungwa kwa zaidi ya miaka mitatu. Hii imetoa fursa ya kuokoa maisha kwa maelfu wanaokimbia ghasia mashariki mwa DRC. Miongoni mwao ni Harriet Banyungu, mama wa watoto 10 ambaye amekuwa akihofia maisha yake na usalama wa binti zake. Kufunguliwa kwa mpaka huo, kumemuwezesha Harriet na wakimbizi wengine kupata hifadhi, usalama, na amani nchini Uganda. @RoncliffeOdit alikuwa Bunagana alipokutana na mkimbizi huyo kutoka DRC...Video by @annaokush - - #bbcswahili #wakimbizi #unyanyasaji #drc #uganda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw