Rais asema ametekeleza ahadi yake pakubwa

  • | Citizen TV
    696 views

    Rais William Ruto hii leo ameendelea kutetea mipango ya serikali yake anayosema inalenga kutoa ajira kwa vijana akidai kwamba ndio njia pekee ya kutatua mzigo wa ukosefu wa ajira nchini.