Gachagua amekatiza safari yake ya Marekani

  • | Citizen TV
    5,750 views

    Viongozi wa chama cha DCP kaunti ya Kajiado wameonya serikai dhidi ya kumkamata aliyekuwa naibu wa Rais Rigathi Gachagua atakaporejea nchini.