Rais Ruto aongoza mkutano wa marais

  • | Citizen TV
    230 views

    Rais William Ruto na Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa wamefanya kikao na marais wa jumuia ya afrika mashariki na jumuiya ya maendeleo ya mataifa ya kusini mwa afrika (SADC) kuzungumzia juhudi za kurejesha amani katika jamhuri ya kidemkrasia ya Congo.