Mbarak Salim ameapishwa kama Naibu Gavana

  • | Citizen TV
    168 views

    Mbarak Salim ambaye pia ni Waziri wa Afya katika kaunti ya Lamu, hii leo ameapishwa rasmi kama Naibu Gavana wa kaunti hiyo.