Ujenzi wa akademia ya michezo Mwala

  • | Citizen TV
    94 views

    Ujenzi wa akademia ya michezo itakayogharimu shilingi milioni 70 umezinduliwa katika eneo la Mbiuni, eneo bunge la Mwala kaunti ya Machakos.