Baraza la wazee wa jamii ya Pokomo wapinga kile wanachodai ni kuingiliwa kwa mikutano yao na polisi

  • | NTV Video
    295 views

    Sehemu ya baraza la wazee wa jamii ya Pokomo wanaojitambulisha kama Masesa, yaani majaji wa kitamaduni, wamepinga vikali kile wanachodai ni kuingiliwa kwa mikutano yao ya kitamaduni na polisi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya