Kiambu: Wafanyabiashara wandamana wakilalamik kuhusu kukandamizwa kupitia ada za leseni za biashara

  • | NTV Video
    424 views

    Wafanyabiashara mjini Kiambu wameandamana wakilalamikia maafisa wa ukaguzi wa kaunti kwa madai ya kuwakandamiza kupitia ada za leseni za biashara ambazo wanasema ni kinyume cha sheria na hazina uwiano.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya