Rais Ruto azuru Migori | Aahidi maendeleo na kusifia 'handsheki'

  • | Citizen TV
    1,118 views

    RAIS WILLIAM RUTO HII LEO AMEZURU KAUNTI YA MIGORI AMBAKO AMEENDELEZA KAMPENI YA MAENDELEO AKIWATAKA WENYEJI WA MIGORI KUWA TAYARI KUSAHIHISHA MTIHANI WAKE DEBENI MWAKA WA 2027. RAIS RUTO AMBAYE ALIFANYA KIKAO ENEO LA AWENDO NA MAENEO MENGINE YA KAUNTI HIYO AMESEMA SERIKALI SASA IKO IMARA BAADA YA USHIRIKIANO WAKE NA CHAMA CHA ODM. STEPHEN LETOO ANATUARIFU