Weego yafanya kikao na madereva Nairobi ili kuboresha mawasiliano nao

  • | Citizen TV
    116 views

    Kampuni ya kutoa huduma za usafiri wa mtandaoni ya Weego imefanya kikao chake cha pili na madereva jijini Nairobi kama njia moja ya kuboresha mawasiliano nao.