Kindiki aahidi usawa kwa wagombea wote wa UDA kwenye chaguzi ndogo

  • | Citizen TV
    464 views

    NAIBU RAIS KITHURE KINDIKI, AMEWAHAKIKISHIA WAGOMBEA WOTE WATAKAOWANIA VITI MBALIMBALI, KWENYE CHAGUZI NDOGO ZIJAZO KUPITIA TIKETI YA UDA, KWAMBA KUTAKUWA NA UHURU KWA WAGOMBEA WOTE