Isiolo: Wahudumu wa afya ya jamii wasitisha huduma zao wakilalamikia kutolipwa marupurupu yao

  • | NTV Video
    114 views

    Wahudumu wa afya ya jamii (CHPs) katika Kaunti ya Isiolo wamesitisha huduma zao wakilalamikia kushindwa kwa serikali ya kaunti hiyo kuwalipa marupurupu yao kwa zaidi ya miaka miwili.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya