KVF yatangaza kikosi cha mwisho cha malkia strikers kitakachoshiriki mchuano wa dunia Thailand

  • | Citizen TV
    200 views

    SHIRIKISHO LA VOLIBOLI NCHINI KVF LIMETAJA KIKOSI CHA MWISHO CHA MALKIA STRIKERS KITAKACHOSHIRIKI MCHUANO WA DUNIA NCHINI THAILAND KUANZIA AGOSTI 22 HADI SEPTEMBA 7. MCHEZAJI BORA WA MCHUANO WA AFRIKA CHINI YA MIAKA 20 TERRY TATA IDACHI AMEJUMLISHWA KWENYE KIKOSI HICHO CHA WACHEZAJI 16.