Taita Taveta: Wazazi wanaoishi katika hali duni na ulemavu wapokea msaada wa karo za wanafunzi

  • | NTV Video
    27 views

    Baadhi ya wazazi katika kijiji cha Werugha Taita Taveta wenye hali duni na ulemavu wamepokea msaada wa karo za wanafunzi kutoka kwa msamaria mwema. Wanafunzi zaidi ya Mia Tatu walipokea Basari za kiwango cha milioni 1.3 .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya