Bandari ya Lamu yazidi kujipatia umaarufu kama kitovu kipya cha biashara ya baharini

  • | NTV Video
    278 views

    Bandari ya Lamu inazidi kujipatia umaarufu kama kitovu kipya cha biashara ya baharini katika ukanda wa Afrika Mashariki, ikivutia idadi kubwa ya meli na shehena ya mizigo ya kusafirishwa upya.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya