Uwekezaji katika kaunti

  • | Citizen TV
    134 views

    Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi amezitaka serikali za kaunti kuwa makini na uwekezaji kutoka mataifa jirani ili kuhakikisha kuwa fedha hizo zinatumika vyema na kwenye miradi iliyokusudiwa