Raila atetea ugatuzi

  • | Citizen TV
    269 views

    Kiongozi wa ODM Raila Odinga ametetea matunda ya ugatuzi huku akitaka pesa zaidi kupewa serikali za kaunti. Akihutubia kongamano la ugatuzi linaloendelea kaunti ya Homa Bay, Raila pia alionekena kuunga mkono msimamo wa rais William Ruto kuhusu kukithiri kwa ufisadi, akisema unalemaza utendakazi wa serikali