Utata wa uchimbaji wa dhahabu Ojamii

  • | Citizen TV
    175 views

    Kuwepo kwa dhahabu katika mashamba ya wakazi katika kijiji cha Ojamii huko Teso Kusini kaunti ya Busia, kumesababisha mzozo huku majirani waking'ang'ania raslimali hiyo