Vifo vya watoto Kidimbwini

  • | Citizen TV
    80 views

    Serikali ya kaunti imeanzisha msako dhidi ya wawekezaji waliojenga vidimbwi vya kuongelea kwenye makazi bila kufuata utaratibu ulioweka ili kukabiliana na majanga. Waziri wa ardhi, nyumba na mipango ya jiji Mohammed Hussein amesema kuwa shughuli hiyo itahushisha vitengo mbali mbali ili kuhakikisha sheria na kanuni za kuwepo kwa vidimbwi vya kuongelea vinafuatwa