Mahakama yasitisha uuzaji wa hisa za KPC

  • | Citizen TV
    102 views

    Mahakama kuu imetoa agizo la kuzuia uuzaji na kuhamishwa kwa hisa za kampuni ya Kenya Pipeline Company Limited hadi kesi iliyowasilishwa na shirika la COFEK litakaposikizwa na kuamuliwa