Mwanamke afariki Mandera baada ya kukanyaga kilipuzi cha kujitengeneza

  • | NTV Video
    238 views

    Mtu mmoja amefariki katika Kaunti ya Mandera baada ya kukanyaga kilipuzi cha kujitengenezea (IED). Fatuma Mohamed Noor anaaminika alikuwa akirejea nyumbani kutoka shambani pamoja na bintiye, Asma Mohamed Hussein, wakati tukio hilo la kusikitisha lilipotokea.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya