Murkomen aonya wafadhili wa magenge ya uhalifu Kiambu na watengenezaji wa pombe haramu

  • | Citizen TV
    779 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amelezea hofu ya kuibuka kwa magenge ya uhalifu eneo la kati, akisema serikali iko ange kukabiliana na wavunjaji sheria. Murkomen aliyeongoza kikao cha Jukwaa la Usalama kaunti ya Kiambu akionya kuwa wanaofadhili magenge haya watakabiliwa vikali. pia amewaonya wafanyabiashara wanaovunja sheria za utengenezaji pombe.