Makueni yafadhili wanafunzi 81 wa vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    177 views

    Wanafunzi 81 kutoka familia zisizojiweza na waliofanya vyema katika mtihani wa kidato cha 4 mwaka jana wamepata ufadhili wa elimu yao yote ya vyuo vikuu na serikali ya kaunti ya Makueni huku serikali ikitakiwa kupunguza gharama ya elimu ya vyuo vikuu kwani wazazi wengi wameshindwa kumudu gharama hiyo.