Makundi ya vijana yanajihusisha na utunzaji msitu

  • | Citizen TV
    236 views

    Makundi ya vijana wanaohusika na utunzaji wa mazingira kaunti ya Nandi wameanza mikakati ya kuuokoa msitu wa Cengalo ambao umekuwa ukishuhudia uharibifu mkubwa. Vijana wa kikundi cha "MGOGI GREEN MASHINANI" wameanzisha shughuli hii kulinda chemichemi hii ya maji.