Shughuli ya kutoa hamasisho inaendelezwa hapa

  • | Citizen TV
    237 views

    Kupitia mpango huo, jamii na waendeshaji wa pikipiki watahusishwa katika kuhamasisha ulinzi wa punda, huku ukaguzi wa magari ukipangwa katika vizuizi vya barabara ili kubaini usafirishaji wa nyama na ngozi ya punda.