Wakazi wa Homa Bay wapokea matibabu bila malipo

  • | KBC Video
    8 views

    UHISANI KWA JAMII

    Mamia ya wakazi wa Kaunti ya Homa Bay wamepokea huduma za afya bila malipo wakati wa kambi ya matibabu iliyoandaliwa na kampuni ya Minet Kenya katika Shule ya Upili ya mseto ya Miyuga, eneo bunge la Karachuonyo. Hatua hii ililenga kukabiliana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza na kuongeza uhamasishaji kuhusu umuhimu wa uchunguzi wa kiafya wa mara kwa mara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive