Waziri wa Afya Aden Duale asisitiza umuhimu wa ushirikiano na Japan

  • | Citizen TV
    130 views

    Waziri wa afya Aden Duale, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano na nchi ya Japan kwenye usalama wa sekta ya afya udhibiti wa magonjwa ambukizi.