Serikali kutoa malipo kwa hazina ya kustaafu ya railways

  • | Citizen TV
    73 views

    Serikali inatathmini malipo kwa hazina ya kustaafu ya shirika la reli baada ya kutwaa ardhi ya Nairobi railway club. Pesa hizo zitaisaidia hazina hiyo kufanikisha malipo kwa kwa wafanyikazi waliostaafu washirika hilo.