Zaidi ya familia 300 zahodia mafuriko Witemere, Nyeri

  • | Citizen TV
    38 views

    Zaidi ya familia 300 zinazoishi kwenye mtaa wa mabanda wa Witemere Nyeri mjini, zinaishi na hofu ya kusombwa na maji kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha.