Ziara ya Rais Ruto Japan

  • | Citizen TV
    69 views

    Rais William Ruto amewataka wawekezaji kujitokeza kuwekeza zaidi katika sekta ya kawi humu nchini. Akihutubia kongamano la TICAD 9 huko Yokohama nchini Japan, rais ameelezea ushirikiano baina ya nchi hizo mbili kustawisha sekta ya kawi.