Mahakama yasitisha uundaji wa jopokazi la Rais

  • | Citizen TV
    37 views

    Mahakama imesitisha uundaji wa jopokazi la rais la kupiga jeki vita dhidi ya ufisadi nchini kufuatia kesi iliyowasilishwa mahakamani hii leo.