Kaunti ya Kitui yasambaza dawa mashinani

  • | Citizen TV
    64 views

    Kutokana na kuongezeka kwa visa vya watu kuumwa na nyoka, serikali ya kaunti ya Kitui imeanzisha zoezi la kutoa dawa ya kutibu sumu ya nyoka katika hospitali za mashinani.