Mawakili 30 wataka hakimu mkuu kuhamishwa

  • | Citizen TV
    484 views

    Shughuli katika mahakama ya Busia zinaendelea kutatizika kwa siku ya tatu hii leo baada ya baadhi ya mawakili wanaohudumu mahakamani kususia vikao vya kusikizwa kwa kesi katika mahakama inayoongozwa na hakimu mkuu edna nyaloti.