Wanafunzi zaidi ya 500 wafadhiliwa na KTDA

  • | Citizen TV
    223 views

    Wanafunzi zaidi ya mia Tano kutoka maeneo ya kilimo cha chai wapata ufadhili wa masomo ya juu kutoka KTDA foundation.Mpango huu wa ufadhili umefaidi zaidi ya wanafunzi 1,300 tangu kuzunduliwa ,huku viongozi wakisema lengo kuu ni kulea kizazi kipya cha wavumbuzi na viongozi wa mabadiliko kesho