Kamati ya seneti kuhusu ardhi imeanza kusikiliza malalamishi ya mzozo wa ardhi Kilifi

  • | NTV Video
    48 views

    Kamati ya seneti kuhusu ardhi, mazingira na mali asili sasa imeanza kusikiliza malalamishi ya ukiukaji wa sheria, kubomolewa kwa nyumba pamoja na kutishiwa kuondolewa kwa wakazi wa ganda kutoka katika kipande chao cha ardhi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya