Mitaro wazi yatatiza usafiri Ongata Rongai

  • | NTV Video
    68 views

    Wakazi na wamiliki wa biashara kando ya barabara ya Gataka, Ongata Rongai, wameghadhabishwa na mradi wa ujenzi wa barabara uliotelekezwa na kuacha mitaro wazi huku maji taka yakisababisha barabara hiyo kutopitika.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya