Upo wito wa kukomesha ukiritimba wa vyama vikuu vya kisiasa

  • | NTV Video
    26 views

    Wito wa kukomesha ukiritimba wa vyama vikuu vya kisiasa nchini unaendelea kushika kasi huku chama kipya cha National Liberal Party (NLP), kikijitenga na kile kinachotaja kama uongozi wa kujinufaisha kisiasa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya